Jeshi

  1. Vikosi vya usalama vya Korea Kusini

    Katika hotuba ya hivi karibuni aliyoitoa kwenye Mkutano mkuu wa Umoaj wa Mataifa , rais wa Korea Kusini Moon Jae-in, alitoa wito wa Korea mbili na washirika wan chi hizo mbili jirani ( Marekani ambayo inaunga mkono Korea Kusini, na Uchina, ambayo ni mshirika mkubwa wa kiuchumiwa Korea Kaskazini ) kutangaza mwisho rasmi wa mzozo na kuleta amani katika rasi ya Korea.

    Soma Zaidi
    next