Utumwa

  1. Video content

    Video caption: Vizazi vya waliokuwa watumwa wa Marekani vyarejea Ghana

    Umetangazwa kuwa ni mwaka wa vizazi vya watumwa kutoka Ghana ambao sasa ni Wamarekani, Je wanasema nini baada ya kurejea katika taifa lao la asili kwa mara ya kwanza?